Nimevunja kibubu changu nikajipatia ka Galaxy S4 mini.......mwenyewe roho kwatu.........
Sasa mahali ambapo sikaelewi......ni pale simu inapoingia basi kanaanza kutaja ile namba......yaani kanaongea.......au kama nimesave jina utasikia.......call from mtu chake.......call from mtu chake.......hakana siri mjue....... mimi hii inanikera sana na msiponielekeza natoaje hiyo sauti........nitakavunja wallah.......hakanipi nafasi......
Hayo yote yanatendeka kama ringing tone.......
Wakuu nawaheshimu sana kwa hili.......najua tatizo limeisha......

Teh teh teh teh teh teeeeh, Mkuu Preta hebu fuata maelekezo kama +255 alivyokuelekeza ili usije kusikia tena WAHEED SUDAY..........WAHEED SUDAY..............Nimevunja kibubu changu nikajipatia ka Galaxy S4 mini.......mwenyewe roho kwatu.........
Sasa mahali ambapo sikaelewi......ni pale simu inapoingia basi kanaanza kutaja ile namba......yaani kanaongea.......au kama nimesave jina utasikia.......call from mtu chake.......call from mtu chake.......hakana siri mjue....... mimi hii inanikera sana na msiponielekeza natoaje hiyo sauti........nitakavunja wallah.......hakanipi nafasi......
Hayo yote yanatendeka kama ringing tone.......
Wakuu nawaheshimu sana kwa hili.......najua tatizo limeisha......
Nimevunja kibubu changu nikajipatia ka Galaxy S4 mini.......mwenyewe roho kwatu.........
Sasa mahali ambapo sikaelewi......ni pale simu inapoingia basi kanaanza kutaja ile namba......yaani kanaongea.......au kama nimesave jina utasikia.......call from mtu chake.......call from mtu chake.......hakana siri mjue....... mimi hii inanikera sana na msiponielekeza natoaje hiyo sauti........nitakavunja wallah.......hakanipi nafasi......
Hayo yote yanatendeka kama ringing tone.......
Wakuu nawaheshimu sana kwa hili.......najua tatizo limeisha......
Nimevunja kibubu changu nikajipatia ka Galaxy S4 mini.......mwenyewe roho kwatu.........
Sasa mahali ambapo sikaelewi......ni pale simu inapoingia basi kanaanza kutaja ile namba......yaani kanaongea.......au kama nimesave jina utasikia.......call from mtu chake.......call from mtu chake.......hakana siri mjue....... mimi hii inanikera sana na msiponielekeza natoaje hiyo sauti........nitakavunja wallah.......hakanipi nafasi......
Hayo yote yanatendeka kama ringing tone.......
Wakuu nawaheshimu sana kwa hili.......najua tatizo limeisha......
hivi C6 ni kwamba umeninyamazia au.............
hata nie nilitaka kumshauri hivi umeniwahi..thanxPreta kama bado imegoma solution hii hapa....
nenda
settings
menu > settings > call settings > other
call settings hapo kuna option 3... .ring only. ..caller id then
ring.. caller id repeat chagua ring only
afu usirudie kubonyeza usivijua enheeee
Preta kama bado imegoma solution hii hapa....