JWTZ katika ubora wao wa kiwango cha juu huko misitu ya Congo: Watunikiwa Medali

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
majirani wanaopenda kulinganisha ubora na ufanisi wa JTWZ na majeshi yao ktk medani za vita, inabidi wajitafakari sana.

Akweli ni kwamba JWTZ ni moja kati jeshi bora mno ktk ukanda huu wa east,south and central Africa.

Kwa kuthibitisha hilo,hivi karibuni MUNUSCO imewatunuku medali wanajeshi wa tanzania wanaopambana huko Congo.
na imewatunuku kutokana na uwezo wao wa kimapambano.

Video hii hapa: https://www.facebook.com/

Hapa chini nakuwekea picha maalumu za JWTZ zilizochukuliwa hivi karibuni wakiwa uwanja wa mapambano ktk misitu ya beni Congo DRC.

NB: habari,picha na video ni kwa hisani ya account ya Facebook ya mwandishi na correspondent wa ITV anayeripotia toka congo ndg. eshongulu eshongulu eshongulu almarufu kama Austere Malivika.

 
rafiki yangu mmoja ambaye yupo jeshini,kaniambia nina bahati sana kuziona picha za jw kwenye social media wakiwa ktk operation uwanja wa vita.

nikamuliza kwanini?,akanijibu wenyewe hawapendi kuonekana hovyo ktk mitandao ya kijamii,hayo mambo ya kuuza sura instagram na fb wamewaichia KDF(jeshi la kenya).JWTZ mambo yao kimya kimya.
 
Misitu ya ndani ya tz,inalindwa na jwtz?.jiongeze kidogo kwa kutafuta articles zinazo ainisha majukumu ya jwtz.
 
Kati hao wanao onekana hapo pichani,nenda kamchague mmoja uombe nae pigano tujue kati ya mwenye kitambi na wewe usie nacho nani atakalishwa.
great thinker labda unifaham vizuri. Nikudokeze tu kidogo niko kwenye system. Nina mafunzo ya hali ya juu ya kupigana na kujilinda. Kwenye silaha ni hatari ninaweza kukushoot kwa nyuma bila kukosa shabaha nikielekeza mtutu upside down began huku nakimbia kwa kasi ya ajabu sana.
 
Basi sawa.
 
Misitu ya ndani ya tz,inalindwa na jwtz?.jiongeze kidogo kwa kutafuta articles zinazo ainisha majukumu ya jwtz.

!
!
Acha kukariri wewe.....kama majukumu yao ni hayo kwenye uchaguzi kule Zanzibara wakifata nini? kwenye opereheni tokomeza je? vipi mtwara nako kulikuwa na nini....au unafikiri kazi zao ni kucheza magwaride tu na kuvunja matofali ya udongo kwa vichwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…