JWTZ angalieni utapeli huu

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
Habari wakuu,
Leo saa 17:36 nimepokea ujumbe wa utapeli unaolichafua jeshi letu.

Naomba jeshi limtafute huyu mtu anayetunia namba +255 692 415 547 aliyenitumia sms ya utapeli ili aeleze vizuri.

Nimeambatanisha ujumbe wake sms aliyotuma kwenye namba yangu nikiamini amewatumia watu wengine wengi.

Pia natoa wito kwa makampuni ya halotel na TTCL waangalie upya na wajiulize kwanini siku hizi sms nyingi za UTAPELI zinatoka kwenye namba zao kwa maana ya wateja wa TTCL na HALOTEL.
 
Mkuu hii ni police case sio ya Jeshi, elewa primary responsibility ya Jeshi ni kulinda mipaka yetu, na bila shaka umeweka neno jeshi hapa ili uzi uonekane.nenda to your nearest police station ufungue docket ili police wa apply their mind kama kuchunguza au la
 
Iyo ni kesi ya police mzee usichanganye majukumu jeshi la wananchi Hali deal na izo mambo inawezekana kuhusishwa kwa mambo yanayo tishia usalama wa nchi tuu Tena kwa special force wachache ila itapendeza huyu muharifu ikipitishwa kambi yoyote MP amfundishe adabu kutumia Jina la jeshi letu kwenye uharifu wake
 
Achana nao tu,hao hawana tofauti na wale tuma pesa kwenye namba hii

Ova
 
Naomba kuuliza,mtu akitaka kujiunga na jeshi ni taratibu zipi azifuate??
 
Pole sana chifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…