Betri inakaa muda gani ? Je ni ya div au v 8 .au Hd[/QUO)
Betri sina uhakika nayo lakini ni ya MINI DV kwasababu nimenunua inafanya kazi bila ya wasiwasi lakini sijaitesti muda unaotumika betri na nimeituma Bongo.Naweza nikakutafutia betri nyingine lakini kwa pesa yako yaani nikununulie huku UK betri ya uhakika.