Asante kwa Ripoti.
uongozi wa JF unakushauri uifute hii thread yako kutokana na msongamano wa wigo wa kiutendaji hasa ktk nyanja ya mawasiliano ya ndani.
Kumekuwa na usumbufu mkubwa unaojitokeza kutokana na wingi wa Thread hivyo kufanya mawasiliano ya kiutendaji na uwekaji sawa wa majukwaa kuwa mgumu.