Mkuu sisi tushalifilisi hatuna mbele wala nyuma killicho bakia mchoro wa twega tu na kilicho bakia nacho ni kuyakandia madege ya mashirika ya hapa na ya nje yaani mitusi tu ya kwamba wanatunyanyasa mara wanatubagua kwa rangi wetu nyeusi na kuwonishana vidole na makejeli haya ndio maendeleo yetu na longo longo tu na kutenda ni sawa sawa na usiku wa kiiza