moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,948 Sep 22, 2018 #1 Wakati tunaendelea na maombolezo, mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu ndugu Gerson Msigwa amefafanua kauli ya Rais kuhusu siku nne za maombolezo zilizoanza siku ya Ijumaa Mpaka Jumatatu.
Wakati tunaendelea na maombolezo, mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu ndugu Gerson Msigwa amefafanua kauli ya Rais kuhusu siku nne za maombolezo zilizoanza siku ya Ijumaa Mpaka Jumatatu.
Northman JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,587 Reaction score 2,518 Sep 22, 2018 #2 Ufafanuzi unaotolewa instagram...haya mambo sasa ni heavy sana