kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,360
- 9,600
Mwana lunyasi twende tukanywe supu tufurahie pamojaMsisahau mihogo yenu mikavu...maana ndo chakula chenu cha asili...
Supu ya mbuzi na ngombe mlotoa kafara? Sinywi mtaniMwana lunyasi twende tukanywe supu tufurahie pamoja
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Chapati [emoji2772][emoji2772]tuje na chapati tano tano zetu
Usipogope kuja hatuna roho mbaya sie ndio maana tuliwapa [emoji2772]Msisahau mihogo yenu mikavu...maana ndo chakula chenu cha asili...
Tengezeni jezi/flana za 5G muuze kuinua uchumi wa club, sio kufikilia supu tuKlabu ya Soka ya Yanga Sc, imeandaa sherehe fupi ya kuburudika na mashabiki wa Klabu hiyo kwa kunywa supu makao makuu ya Klabu hiyo yalioko Kariakoo mtaa wa Jangwani
Akizungumza na waandishi wa Habari Afisa Habari wa Yanga Sc Ally Shabani Kamwe, amesema kuwa wameandaa hafla hiyo fupi kwa lengo la kupata burudani ya pamoja na mashabiki wao siku ya jumapili ya wiki hii
Kama itakumbukwa mapema wiki iliyopita kabla ya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga, Chama Cha Mapinduzi kupitia kwa Katibu Mwenezi wa NEC Mh. Paul Makonda, kilitoa ahadi ya kununua kila goli litakalofungwa katika mchezo huo kwa timu itayoshinda mchezo ambapo Yanga aliibuka na ushindi wa goli 1-5
#KishambaUPDATESView attachment 2808677
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Na chupa kadhaa za kuzimuliatuje na chapati tano tano zetu
Supu kwanza tuinue afyaTengezeni jezi/flana za 5G muuze kuinua uchumi wa club, sio kufikilia supu tu
Hatukosi hapo.Klabu ya Soka ya Yanga Sc, imeandaa sherehe fupi ya kuburudika na mashabiki wa Klabu hiyo kwa kunywa supu makao makuu ya Klabu hiyo yalioko Kariakoo mtaa wa Jangwani
Akizungumza na waandishi wa Habari Afisa Habari wa Yanga Sc Ally Shabani Kamwe, amesema kuwa wameandaa hafla hiyo fupi kwa lengo la kupata burudani ya pamoja na mashabiki wao siku ya jumapili ya wiki hii
Kama itakumbukwa mapema wiki iliyopita kabla ya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga, Chama Cha Mapinduzi kupitia kwa Katibu Mwenezi wa NEC Mh. Paul Makonda, kilitoa ahadi ya kununua kila goli litakalofungwa katika mchezo huo kwa timu itayoshinda mchezo ambapo Yanga aliibuka na ushindi wa goli 1-5
#KishambaUPDATESView attachment 2808677
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Alisema kila goli shs ngapi?Klabu ya Soka ya Yanga Sc, imeandaa sherehe fupi ya kuburudika na mashabiki wa Klabu hiyo kwa kunywa supu makao makuu ya Klabu hiyo yalioko Kariakoo mtaa wa Jangwani