LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 253
huo wimbo mkuu, mwanaidi, kuna sauti za skasy kasambula na kasalo kyanga zinatoa nyoka pangoni.nimetokea kumpenda binti mwanaidi.......hizo nyimbo tamu sana kamanda, sijaona
tena
Nimetokea kumpenda binti mwanaidi.......Hizo nyimbo tamu sana kamanda, sijaona tena
Wadau wa muziki wa wa dansi. Kuna nyimbo nimezikumbuka za siku nyingi kama kuna anayeweza kuweka hapa jamvini itakuwa faraja iliyoje kwangu, maana sijui jinsi ya kuzipata ukizingatia siku hizi bongo fleva imetawala.
1. Mwanaidi:uliimbwa na bendi ya toma toma.
2. Alimasi: Uliimbwa na bendi ya super matimila.
3. Mshenga: Uliimbwa na juma ubao-kwenye wimbo huu juma ubao aliimba, kapiga kinanda, solo gitaa,sax
wasiliana na waandaaji wa vipindi wa muziki wa zamani katika radio zetu zote za fm...wana collection kali hadi utashangaa
kushoto ni kawele mutimuana aliyepiga solo katika kibao mwanaidi kilichorekodiwa rtd mwaka 1982. Hapa anatoa somo la upigaji solo. Hii ni mwaka 2011 nchini uingereza, ambako ndiko anakoishi kwa sasa.