Julieth Rushuli aenguliwa BAVICHA

Ya chadema yanakuhusu nini wewe mbu.zi.......wewe endelea na ugaidi wako huko huko...hivi wewe una utu gani? unaenda kumtoboa macho kibanda hivi hivi...na umemsababishia kilema cha maisha......Really...wewe ni binadamu?
 
Kulikuwa na post hapa alipost Plato usiku jana kuwa Julieth Rushuli ameenguliwa kwenye uchaguzi wa BAVICHA. sasa haionekani.imefutwa au imekuwaje? na je ameenguliwa au zilikuwa siasa za magamba? tunaomba tufahamishwe.
Mtu mwenyewe umezeeka BAVICHA inataka damu zinazochemka wewe nenda kaungane na ajuza mwenzio FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Kulikuwa na post hapa alipost Plato usiku jana kuwa Julieth Rushuli ameenguliwa kwenye uchaguzi wa BAVICHA. sasa haionekani.imefutwa au imekuwaje? na je ameenguliwa au zilikuwa siasa za magamba? tunaomba tufahamishwe.

Kafilie mbele kule. Ya Chadema hayakuhusu. Mbona hamzungumzii tena ACT? Ilishajifia.
 
Kulikuwa na post hapa alipost Plato usiku jana kuwa Julieth Rushuli ameenguliwa kwenye uchaguzi wa BAVICHA. sasa haionekani.imefutwa au imekuwaje? na je ameenguliwa au zilikuwa siasa za magamba? tunaomba tufahamishwe.
Kibaraka wa Magamba una henya henya huna pa kushika sasa
 
Kulikuwa na post hapa alipost Plato usiku jana kuwa Julieth Rushuli ameenguliwa kwenye uchaguzi wa BAVICHA. sasa haionekani.imefutwa au imekuwaje? na je ameenguliwa au zilikuwa siasa za magamba? tunaomba tufahamishwe.

olye enkobe tugila magezi nakati
 
Mbona una interest sana na mambo ya CHADEMA? Yanakuhusu nini?

ninaitamani sana na nashangaa tulipokuwa tunalala chini wenye sauti sasa walikuwa bado CCM.
Sawa kabisa mkuu. Hayo tuyaache ila kuna mdau hapo juu kasema ulihusika katika kumtoboa jicho Kibanda ya kweli hayo? Jisafishe au tubu kosa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…