Jukwaa la Siasa

Ndano

Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
17
Reaction score
18
Mh Rais Dr Magufuli Hapa Kazi Tu
Wananchi tunakupenda tunakuamini ingawa hali zetu kila kukicha inakuwa bora ya Jana kwangu Soda ni Anasa ila nawe unajipoza
 
Mh Rais Dr Magufuli Hapa Kazi Tu
Wananchi tunakupenda tunakuamini ingawa hali zetu kila kukicha inakuwa bora ya Jana kwangu Soda ni Anasa ila nawe unajipoza
 
Acha unafiki.
Usitumie wingi kwenye kutoa sifa zako uchwara..
Jisemee nafsi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…