Wakuu, samahani, sijajua kama mojawapo ya ubora wa sheria ni kunyimwa material ili uyatafute kwa shidaa. Judiciary pesa wanazo rais anawapa kila wakati wakiomba, tunaona kwenye tv, kwanini hawaweki database ya court of appeal cases zote zilizopita kweney website yao ili tuwe tunadownload au tunazitafuta na kuzipata kwa urahisi?
hizo unreported cases tafadhali kwanini msiweke kwenye database? hata kama watauza haman shita tutanunua. sasa zile chache walizoziweka kwanza wameweka kikoloni, hakuna mpangilio maalumu wa alfabeti n.k, huwezi kupata kesi unayoitaka kiurahisi. kitu gani kinawashinda? kwanini? na kesi zote ninyi ndio mnazo kwanini mnazificha?
Wenzetu wemeweza, sisi bado tunatambaa. jurisdictions nyingine hukumu ikitoka ni siku ile ile watu wanaiona mtandaoniNa sie wabongo tungepata site kama hizi hapa chini,basi tungekuwa mbali sana!
www.kenyalaw.org www.zimlii.org www.ulii.org www.malawilii.org www.namiblii.org!
Sie tumebakia kudandiadandia kwenye site za watu kama hapa: www.dlawlibrary.org na www.saflii.org!
Judicaialy zaidi ya tatizo la ukiritimba ni wazembe kweli. Mahakimu na majaji mi wavivu sana kufanya research, wataka watafuniwe kila kituna mawakilitatizo liko wapi? kama kesi imeisha na wanataka tukienda kuargue tuwapelekee na nakala ya case law kama in unreported, wakati nakala zenyewe wanazo wenyewe, yaani tuzichukue kwao kwa ukiritimba na shida sana alafu tuwapatie wao wenyewe. waweke tu kwenye database case zote alphabetically au kwa miaka au miezi etc ziwe wazi ili principle za sheria zote ziwe wazi. kwani ukiwa mwanasheria lazima uumize kichwa kutafuta materia? badala ya kuumiza kichwa kutafsiri principle ya sheria?
Hii ni FURSA ya IT.Wakuu, samahani, sijajua kama mojawapo ya ubora wa sheria ni kunyimwa material ili uyatafute kwa shidaa. Judiciary pesa wanazo rais anawapa kila wakati wakiomba, tunaona kwenye tv, kwanini hawaweki database ya court of appeal cases zote zilizopita kweney website yao ili tuwe tunadownload au tunazitafuta na kuzipata kwa urahisi?
hizo unreported cases tafadhali kwanini msiweke kwenye database? hata kama watauza haman shita tutanunua. sasa zile chache walizoziweka kwanza wameweka kikoloni, hakuna mpangilio maalumu wa alfabeti n.k, huwezi kupata kesi unayoitaka kiurahisi. kitu gani kinawashinda? kwanini? na kesi zote ninyi ndio mnazo kwanini mnazificha?
Naweza kukusanya baadhi ya cases na kuziweka katika mfumo wa kompyuta. E-mail :wigotz@gmail.comWakuu, samahani, sijajua kama mojawapo ya ubora wa sheria ni kunyimwa material ili uyatafute kwa shidaa. Judiciary pesa wanazo rais anawapa kila wakati wakiomba, tunaona kwenye tv, kwanini hawaweki database ya court of appeal cases zote zilizopita kweney website yao ili tuwe tunadownload au tunazitafuta na kuzipata kwa urahisi?