Butola Agatany8I IEBC wako sahihi kimahesabu. Watu wa HGL mnaweza msielewe; Ili mgombea atangazwe mshindi wa uraisi anatakiwa kupa zaidi ya 50% ya kura zilizopigwa na majimbo 24 kati ya majimbo 47. "Variable" hapa ni kura zilizopigwa na idadi ya majimbo mgombea aliyoshinda (kukubalika kitaifa).
Kura zilizopigwa (X) = kura walizopata wagombea wote + kura zilizoharibika.
Ili mgombea "A" atangazwe mshindi kura alizopata A/X lazima ziwe zaidi ya 50%.
Wakifanya kama Jubilee Coalition wanavyotaka maana yake hata kama wagombea wote wangekataliwa na wapiga kura (kura za maruhani) bado tume ingetangaza mshindi kati ya wale waliopigiwa kura
Butola kupata uharibu wa kura kwa kiwango cha 3% nako kunatia mashaka na hii ilitokea Zanzibar na ilisemekana na kura za Maalimu Seif zilikuwa zinaharibiwa ili kumpitisha Dr Shein. Nahisi hata huko Kenya kuna matatizo si bure...Haihitaji kusoma Basic Mathematics kuijua hesabu hii, ebu fikiria matokeo ya uchaguzi wa duru la pili...
....Assume, kura za Kenyatta=A, Kura za Odinga = B, Kura Zilizoharibika= C, hivyo Jumla ya Kura zote= A + B + C; kura za Kenyatta percentagewise itakuwa A/(A+B+C), za Odinga B/(A+B+C) na zilizoharibika C/(A+B+C).
...Sasa fikiria kama kwenye marudio, Kenyatta apate 49%, Odinga 48%, na Zilizoharibika 3%, je tume itatangaza mshindi?maana hakutakuwa na aliyepata zaidi ya 50%+ 1 ya Jumla ya Kura,(A+B+C),je uchaguzi urudiwe mara ngapi ndipo mshindi aliyepata chini ya 50% atangazwe?lazima ufikirie assumption zote hizo, kwani ukiziweka hizo kama sehemu ya kura na ukaweka condition ya 50%+1 kuna uwezekano wa uchaguzi kurudiwa indefiniely...
Mlachake
Kazi ipo hapa! Wameandikishwa 726 lakini waliopiga kura ni 769! Au kuna kitu sijaelewa hapa. Ab-Titchaz , is this "explainable"?
Butola kupata uharibu wa kura kwa kiwango cha 3% nako kunatia mashaka na hii ilitokea Zanzibar na ilisemekana na kura za Maalimu Seif zilikuwa zinaharibiwa ili kumpitisha Dr Shein. Nahisi hata huko Kenya kuna matatizo si bure
Hivi ikitokea mshindi akapata 50%+1, na anayemfuatia akapata 49.99% inamaanisha nini! Mi nadhani ifike sehemu maoni ya kila mmoja yakubalike, aliyesema YES,NO na aliyeharibu kura yake (minajili ana akili timamu manake anaelewa akifanyacho)
Kwa nini sheria isiruhusu ktk close tie washirikiane kuongoza nchi (wajali maoni ya wapiga kura wote) na katika hali nyingine mshindi apate angalau 65% au 70% ya kura zote!!!!!!!!!!!
...Hapo ni rahisi, mgombea akipata 50%+1 anatangazwa mshindi, simple, bila kujali anayemfuata ana ngapi, issue hapa ni uwezekano wa wagombea wote kutopata 50%+1 ata kwenye uchaguzi wa marudio kwa sababu ya kuziweka "kura zilizoharibika" kwenye Jumla ya Kura...
Butola hao 377000 walikuwa wapiga kura? Kama jibu ni ndiyo kama hawakuona mgombea anayefaa unataka kura yake isihesabiwe?....Ukishaiweka kama "factor" ya Jumla ya kura hauwezi tena kuidharau,ni lazima uitambue tu, kuna machizi wataharibu kura, wapo! kuna human error, zipo tu!elimu ya upigaji kura, lipo hili!! na list inaendelea...
...Ebu ona katika uchaguzi huu mpaka sasa huyu mgombea "Kura Zilizoharibika" ana kura 337,000, kamzidi ata Mudavadi mwenye 151,000, sasa kuziweka hizi kwenye Jumla ya Kura ni mtego mbaya sana, japo utawanufaisha sasa CORD lakini ni kitanzi kibaya sana kwa nchi, tume ikishindwa kuutegua ni vyema mahakama itoe tafsiri itakayeutegeua huu mtego...
swali la kizushi:
Tuseme zimepigwa 100,kura 20 zikaenda kwa Raila,kura 25 zikaenda kwa Uhuru na kura 55 zikaharibika,hivi Uhuru atatangazwa kuwa ni Rais wa Kenya?