Juan Mata,Santi Cazorla na David Silva....hawa ni wachezaji wenye asili ya hispania wanaocheza mpira katika vilabu vya Chelsea,Arsenal na Man city respectively nchini uingereza.Hawa wote wanafanana kwa kiasi kikubwa kwa sababu wote ni creative midfielders.Naomba tuwapambanishe katika category zifuatazo;
(1).Kutawala dimba la kati.Hapa nikimaanisha uwezo wa kumiliki mpira na passing accuracy.
(2).Utoaji wa pasi za mwisho.Hapa ninaongelea passing in the final third na kupiga through balls zinazozaa magoli.
(3).Uwezo kupasua ngome ya timu pinzani huku akimiliki mpira.
(4).Uwezo katika ufungaji wa magoli,taja na idadi ya magoli scored so far.
(5).Toa tathmini yako overall unamkubali nani zaidi?