Unapotengenza tovuti iwe ni shirika la huduma , utangazaji, biashara, uwepo ya
mrejesho. au feedback ni muhimu ili wasomaji na watembeleaji waweze kutoa maoni yao . Sasa
Utatengenzaje feedback au
contact us form nzuri
?
JQuery sio tu inasadia kutengeza kutengeza form ya feedback/ contact us lakini inawezesha form ambayoyo inavutia na imedizainiwa vizuri pembeni ya screeen. Tazama mfano huu.
Contactable | jQuery Plugin
Ukitaka kupata script za form hiyo unaweza kuziapata hapa
Scrollable Feedback Form using JqueryDesign Guru | Design Guru. Nenda kwenye sehemu imenadikwa
download. Then unaweza kuibadilisha iendane na mahitaji yako