hv ni kweli uzalendo wa nchi hujengwa kupitia jkt?nikumbukavyo intake ya mwisho ya jkt ni 1993.je wanaoitafuna Tanzania yetu kwa mikataba mibovu,rushwa kila kona,kuuza wanyama nje na watovu wa maadili ktk utumishi wa uma hawakupita JKT?JKT ni muhimu bt we need to think big kwenye swala la uzalendo wa nchi.uzalendo haujengwi kwa miezi 6 bali ni mchakato endelevu wa karne nyngi.
.......