Joti, ni kituko

Anakipaji cha usanii lakini anatakiwa apewe jpo darasa awe na ukomo wa utani au uchekeshaji la sivyo atakuja ambulia kesi ua madai
 
Reactions: jyn
Very Predictable........Nilijua tu hata kabla ya kufungua uzi,atakuwa amevaa nguo za kike.Anyway,kwa kuwa inamfanya aende chooni,hongera zake.
 
Very Predictable........Nilijua tu hata kabla ya kufungua uzi,atakuwa amevaa nguo za kike.Anyway,kwa kuwa inamfanya aende chooni,hongera zake.
Inaweza kumsababisha akalie kitu kigumu chenye ncha butu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…