Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

1.Kwahiyo Dr.Slaa ndiyo ameandika huu ujumbe au Josephine?

2.Je,Dr.Slaa ana maamuzi huru?

3.Hivi Josephine alikuwa na nafasi gani kabla ya kujiondoa cdm?

4:kama wameanza(Josephine &Wilbroad) malumbano na cdm yawezekana HELA ya uchaguzi imeisha na sasa wamekumbuka fursa walizoacha ndani ya cdm, na usemi wa majuto ni mjukuu!
Ngoja tuone hatimaye, maana vijana wa mjini wanasema huu mchezo hauhitaji HASIRA!
 
Kama Mungu angetujalia Dr Slaa Angegombea Urais na Angeshinda basi tungepata First lady Mbovu kuwahi kutokea.
Anaweza akawa first lady mbovu, lakini si kwa haya anayoyasema!
Chadema wanafeli ktk kujenga taasisi!
Itikadi za chadema hazibaki ndio maana hakuna strong hold ya chama zaidi ya ngome ya kaskazini kama anavyosema Bi Josephine!
Upepo wa Lowasa umewapaisha zaidi lkn bado sio itikadi ya chama, kweli upepo huu utavuma Ila ni upepo wa watu, sio upepo wa Sera!
Poleni, Ila endeleeni kuhangaika na vyama vyenu, Ila si vema kudharau ushauri, fanyieni kazi ushauri wake!
 
Chadema chama nilicho kiamini kipindi hicho, chadema ya sasa inakufa na dalili zinaoneshaa.
CCM mpya inazaliwa, ccm yenye misingi ya kweli.
Naipenda ccm hii ambayo itakua chini ya Magufuli.
 
Reactions: mmh
ama kwel ukwel wpatkana baada y mrafki kgombana... saf mma... ila bdo haimaanxi kua we n mzalendo n mpenda wenzio
 
Why it is always women? In Eden, it was Eve. For Samson, Delilah. Ibrahim vs Housegirl.David vs Uriah's wife. Dr. Slaa vs Mshumbusi. But why lord? The one you said will help me, is helping my enemies? Why??
 

Je, umemuuliza huyo aliye andika kwenye facebook kama hilo linamuuma sana? MPE POLE Mwambie wanachama halisi wala hilo haliwasumbui. Wanachojali ni je VIONGOZI ndani ya chama wana watetea wananchi basi, mangine aendelee nayo yeye anaye andika yasio wahusu wanachama wa CHADEMA.
 
Kuna watu wana tabia hii sana. Hata kwenye ndoa wapo sana. Mkikosana au kutalikiana, siri zote za ndoa zinakuwa hadharani kiasi kwamba ukipita mtaani ni kama uko uchi. Ooh, Juma ana kibamia! Miaka yote hukukiona bibie? Kuna ndoa (chama) isiyo na siri(let's say dirty laundry)? Au ndo yale ya Sugu na Faiza, ooh Sugu alitaka tigo, wadogo wa sugu walibaka housegirl na leo anataka kumzalia mtoto. Better sleep with a snake than with a bitter, vengeful woman.
Kweli ni sawa kukibomoa chama ulichoshiriki kukijenga miaka 10-20 kwakuwa tu haupo tena na chama? Live and let live.
 
Why it is always women? In Eden, it was Eve. For Samson, Delilah. Ibrahim vs Housegirl.David vs Uriah's wife. Dr. Slaa vs Mshumbusi. But why lord? The one you said will help me, is helping my enemies? Why??

Hayo yote ni majaribu, Binadamu lazima ajaribiwe, ili kuona kama kweli UKO IMARA WAKE.
 
KWANI CHADEMA HAINA KATIBA? Alipokuwa chadema na mchumba wake alikuwa hayajui hayo alioandika leo?.

Tunamtakia kila lakheri huko alipo. Uchaguzi umepita rais amepatikana tunajenga nchi na kusubiri 2020.
 
Sasa mbona wameondoka na chama kimefanya vizuri kwenye uchaguzi uliopita kuliko kipindi alichogombea huyo mchumba wake
Hujui siasa kaa mbali,,kwa wakati huu watu waliichoka ccm so lazima tungefanya vizuri tu hata angegombea lipumba au slaa..acha ufia chama
 
Nimemuelewa sana huyu mama.hasa mwishoni kule,,kumkataa mtu tulomwita fisadi 8 years ni usariti???,ila wafia chama hawawezi kuielewa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…