Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Namkubali sana jamaa. Tatizo Usela mwingiii
Uliipata?dah! mkuu mm ni mmoja ya watu wanaozielewa kazi zake huyu jamaa anajua sana! kuna ngoma moja alifanya na belle inaitwa NAONGEA NA ROHO kwa aliye nayo msaada tafadhari!