thanks kwa
Young Kibaka kwa maelezo mazuri nataka kuongezea kidogo tu
-kozi zinazofundishwa kwa ngazi ya shahada ni education,law,bba,philosophy,psycology,education with religious studies,n.k
-chuoni panafikika kwa usafiri wa daladala ukitokea stand kuu ya msamvu unapanda dala dala za kwenda mikese unashukia chuo moja kwa moja