Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 958
- 1,978
Kama hamna mchezaji hapo subirini semi final ya CRDBHamna mchezaji hapo, kakutana na mabeki wachovu. Msajilini huyo Sowah ili mwakani mlie na kusaga meno. Simba isiingie kwenye huu mkumbo.
Nitamwangalia vizuri kwenye mechi 2 atakazocheza na simbaHamna mchezaji hapo, kakutana na mabeki wachovu. Msajilini huyo Sowah ili mwakani mlie na kusaga meno. Simba isiingie kwenye huu mkumbo.
Pia bado wana mechi nao ya ligiKama hamna mchezaji hapo subirini semi final ya CRDB
Namba hazidanganyi mkuu.Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara
Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo amecheza na idadi ya magoli ambayo amefunga utaungana na mimi kwa hiki nikisemacho
Mwamba amecheza michezo 10 pekee na kufunga magoli 11 kwa maana hiyo ana zaidi ya asilima 100 ya kila mchezo kufunga goli sio namba za kitoto hizo brother
Sowah kwa namna ambavyo amekuwa na kasi ya kufunga wenda msimu huu akawa mfungaji bora bila ya ubishi wowote maana kwenye ligi hakuna mshambuliaji ambaye anaweza kukupatia angalau asilimia 80 ya kila mechi kufunga
Ukiangalia kwa kasi yake ambayo yuko nayo sio Dube, Mzize wala Ahoua jamaa kwenye kufunga Class yake ni kubwa mno sio ya kitoto hata kidogo itoshe kusema acheki na yeyote
Mpaka sasa
👉Ahoua amecheza michezo 21 akifunga magoli 12
👉 Dube yeye tayari amecheza michezo 23 na kufunga magoli 12
👉 Mzizi yeye pia michezo 23 amefunga magoli 11 pekee
Hivyo basi bila ya shaka yeyote Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji bora zaidi 2024/25.
@fungameza_jr
Number hazidanganyi kaka . Uko sahihi.Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara
Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo amecheza na idadi ya magoli ambayo amefunga utaungana na mimi kwa hiki nikisemacho
Mwamba amecheza michezo 10 pekee na kufunga magoli 11 kwa maana hiyo ana zaidi ya asilima 100 ya kila mchezo kufunga goli sio namba za kitoto hizo brother
Sowah kwa namna ambavyo amekuwa na kasi ya kufunga wenda msimu huu akawa mfungaji bora bila ya ubishi wowote maana kwenye ligi hakuna mshambuliaji ambaye anaweza kukupatia angalau asilimia 80 ya kila mechi kufunga
Ukiangalia kwa kasi yake ambayo yuko nayo sio Dube, Mzize wala Ahoua jamaa kwenye kufunga Class yake ni kubwa mno sio ya kitoto hata kidogo itoshe kusema acheki na yeyote
Mpaka sasa
👉Ahoua amecheza michezo 21 akifunga magoli 12
👉 Dube yeye tayari amecheza michezo 23 na kufunga magoli 12
👉 Mzizi yeye pia michezo 23 amefunga magoli 11 pekee
Hivyo basi bila ya shaka yeyote Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji bora zaidi 2024/25.
@fungameza_jr
Jonathan Sowah tangu akiwa na Medeama alivyocheza zile mechi mbili na Yanga nilimuona ni streka tishio sana,Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara
Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo amecheza na idadi ya magoli ambayo amefunga utaungana na mimi kwa hiki nikisemacho
Mwamba amecheza michezo 10 pekee na kufunga magoli 11 kwa maana hiyo ana zaidi ya asilima 100 ya kila mchezo kufunga goli sio namba za kitoto hizo brother
Sowah kwa namna ambavyo amekuwa na kasi ya kufunga wenda msimu huu akawa mfungaji bora bila ya ubishi wowote maana kwenye ligi hakuna mshambuliaji ambaye anaweza kukupatia angalau asilimia 80 ya kila mechi kufunga
Ukiangalia kwa kasi yake ambayo yuko nayo sio Dube, Mzize wala Ahoua jamaa kwenye kufunga Class yake ni kubwa mno sio ya kitoto hata kidogo itoshe kusema acheki na yeyote
Mpaka sasa
👉Ahoua amecheza michezo 21 akifunga magoli 12
👉 Dube yeye tayari amecheza michezo 23 na kufunga magoli 12
👉 Mzizi yeye pia michezo 23 amefunga magoli 11 pekee
Hivyo basi bila ya shaka yeyote Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji bora zaidi 2024/25.
@fungameza_jr
Hao kina Dube,Mnzinze na Ahoua walikutana na mabeki gani kufunga hizo goli walizonazonkwenye NBC. Ushabiki wa Simba na Yanga hauna tofauti na Mental Disorder aiseeHamna mchezaji hapo, kakutana na mabeki wachovu. Msajilini huyo Sowah ili mwakani mlie na kusaga meno. Simba isiingie kwenye huu mkumbo.
Sasa Simba na Yanga zimeingiaje hapo wakati tunaongelea mchezaji wa Singida?Hao kina Dube,Mnzinze na Ahoua walikutana na mabeki gani kufunga hizo goli walizonazonkwenye NBC. Ushabiki wa Simba na Yanga hauna tofauti na Mental Disorder aisee
Mi kwa hizo mechi niliiona ni mshambuliaji hatari na nilitamani yanga wamsajili,ana nguvu,anafunga kwa mguu na kichwa,yanga wakimsajili, Simba watakua na kazi sana msimu ujaoNamba hazidanganyi mkuu.
Huyu kipindi wanakutana na Yanga akiwa na timu yake ya zamani nilimuona mchezaji wa kawaida sana,huenda kwa vile alikuwa katoka majeruhi ama alitupiwa majini ya yanga asifunge.
Maana yanga wana siri za hovyo ndio maana wanawasajili wachezaji walioshindwa Simba kwa kuwa wanajua walichowafanyia wakiwa upande wa pili