ninajitahidi kupata taarifa zaidi kuhusiana na Thomas Isidore Noel Sankara,na Wikipedia inaongelea kuwa October 2015 mwili wake ulifukuliwa na kufanyiwa autopsy na kugundulika ulikuwa rddled with more than a dozen bullets,ila habari hii haisemi kuwa baada ya hapo alifanyiwa maziko ya kitaifa,ila humu ni chungu cha habari may be kuna mmoj wetu anaweza kutupa habari zaidi.hivi thomas sankara yeye pia alizikwa tena ?
ngoja tusubiri basi members waje , ila huenda hata hajazikwa maana bbc wange reportninajitahidi kupata taarifa zaidi kuhusiana na Thomas Isidore Noel Sankara,na Wikipedia inaongelea kuwa October 2015 mwili wake ulifukuliwa na kufanyiwa autopsy na kugundulika ulikuwa rddled with more than a dozen bullets,ila habari hii haisemi kuwa baada ya hapo alifanyiwa maziko ya kitaifa,ila humu ni chungu cha habari may be kuna mmoj wetu anaweza kutupa habari zaidi.
Mpigania uhuru wa Angola Jonas M.Savimbi ,kesho siku ya jumamosi tarehe 1.6.2019 atafanyiwa mazishi rasmi ya kitaifa,baada ya kuzikwa bila kufuatwa kwa itifaki mara baada ya kuuliwa hapo tarehe 22.feb.2002,mazishi hayo yatafanyika kwenye kijiji cha Lopitanga(central Angola),wengi tutamkumbuka kwa ujasiri wake na wengine watamkumbuka kama mwasi ila jina hili la Black cockerel halikuwa la kupewa tu ,alistahili kuwa na jina kama hili.kwa manufaa zaidi jisomee kitabu kinachoelezea maisha yake kinachoitwa Jonas Savimbi A key to Africa by Fred Brigland.
Hasa akiwa na softcopy akaweka hapa itapendeza zaidiMkuu kama unahicho kitabu cha savimbi naomba nikipitie na mm
Jamaa alikuwa mwamba wa lugha za Kireno, Kifaransa, Kiingereza, Espanyola