Joining Instructions ya Singida laboratory assistant school

Harnandez

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
408
Reaction score
344
Kama kuna MTU anafahamu utaratibu wa kupata joining instructions ya chuo hicho kuna rafiki yangu amechaguliwa hapo na NACTE na amekua confirmed lakini kila akicheck email yake haoni hiyo joining instructions
 
mwambie atulie zitatoka baada ya matokeo ya awaamu ya pili kutoka me pia nasubili.
 
ETI VYUO VYA SERIKALI VYA AFYA NI KWELI HAWACHUKUI WALIOMALIZA FORM IV SIKU NYINGI??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…