Joining Instruction, Kimamba Secondary School

issa maneno

Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
40
Reaction score
0
wana jf kwa yeyote anaifaham kimamba sec iliyopo morogoro, mimi nimechaguliwa katika shule iyo
 
nataka kufaham mazingira ya shule pia kama kuna mtu mwenye namba ya mwalimu yeyote katika shule iyo kwani hadi sasa sijapata join instruction
 
Ndugu zangu mwenye Joining Instructions za Kimamba Secondary iliyopo mkoani Morogoro pamoja na Karatu High School iliyopo Arusha anisaidie kunitumia kwa mussamiddy@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…