Msaada tenaa ...jamanii naitajii mtu yoyotee mwenye joining istraction ya masomo ya afyaa kwa chuo chochotee cha government ..kuanzia 2016 mpakaa 2018 ..kwa certificate na diplomaa ...msaada wenu wakuu..
Joining instraction[emoji735]
Joining instructions[emoji736]
J.I. huwa zina vary kati ya chuo na chuo hata kama vyote vya serikali.
Cha kufanya tafta joining instr. ya chuo husika.