Jamani naomba wale wote waliokwepo wakati wa uchaguzi wa kenya 2007 waniambie tofauti kati ya anayoyafanya John Tendwa wetu na Samwel Kivuitu aliyekuwa mwekiti wa tuma ya uchaguzi kenya mwaka 2007. Kivuitu alionyesha wazi jinsi vyama vinavyotawala vinavyoweza ku manipulate matokeo ya uchaguchaguzi kwa kufuata maagizo ya waliowateua. Tendwa kwa sasa anatishia kuifuta chadema kisa polisi wanaua wakati wa mikutano yao. Hivi ni haki ya Tendwa kujitokeza kuitetea CCM wanaposhindwa kujibu mapigo?
Nawasilisha.
Tendwa hana tafauti na Ndugu yake wa TBC1. Anajikomba ili asikose pesa ya "ULABU"Jamani naomba wale wote waliokwepo wakati wa uchaguzi wa kenya 2007 waniambie tofauti kati ya anayoyafanya John Tendwa wetu na Samwel Kivuitu aliyekuwa mwekiti wa tuma ya uchaguzi kenya mwaka 2007. Kivuitu alionyesha wazi jinsi vyama vinavyotawala vinavyoweza ku manipulate matokeo ya uchaguchaguzi kwa kufuata maagizo ya waliowateua. Tendwa kwa sasa anatishia kuifuta chadema kisa polisi wanaua wakati wa mikutano yao. Hivi ni haki ya Tendwa kujitokeza kuitetea CCM wanaposhindwa kujibu mapigo?
Nawasilisha.
Tendwa hana tafauti na Ndugu yake wa TBC1. Anajikomba ili asikose pesa ya "ULABU"
Jamani naomba wale wote waliokwepo wakati wa uchaguzi wa kenya 2007 waniambie tofauti kati ya anayoyafanya John Tendwa wetu na Samwel Kivuitu aliyekuwa mwekiti wa tuma ya uchaguzi kenya mwaka 2007. Kivuitu alionyesha wazi jinsi vyama vinavyotawala vinavyoweza ku manipulate matokeo ya uchaguchaguzi kwa kufuata maagizo ya waliowateua. Tendwa kwa sasa anatishia kuifuta chadema kisa polisi wanaua wakati wa mikutano yao. Hivi ni haki ya Tendwa kujitokeza kuitetea CCM wanaposhindwa kujibu mapigo?
Nawasilisha.
Mkuu ... umechanganya mambo hapa ... Kivuitu ni ECK (Election Commission of Kenya) na Tendwa ni Registrar of Political Parties
Edit and present the right comparison