Ukifatilia kwa kina interviews za "Big Frank" utagundua kuwa alikuwa na kitu flani moyoni about Suge! Sisemi kuwa Suge plotted Pac's death but i believe Suge or his associates killed "Big Frank", kifo cha Big frank kipo Clear zaid kuliko cha Johnny J ingawa wote Waliuliwa, but Kwa Big ilikuwa ni clear zaidi, And kwangu mimi Kuna Mkono wa Suge kwenye kifo cha Big Frank, not so sure about Johnny J, but pia mnyamwez got killed si muda saana baada ya kutamka kuwa he got 30+ Pac's (unreleased joints), alifanya makosa kwa upande huo, na pia inasemekana bruv alikuwa na studio footage kibao za Pac, so kwenda Public na kusema kuwa ana ngoma kama 30 hiv za Pac na Kibaya zaid alikuwa kwenye process ya kuziachia zile ngoma! (Ilikuwa ni bad Move kutoka kwa mnyamwezi), Johnny J was killed kwa sababu hiyo, hakuwa na sababu ya kujiua, he had a Family na walikuwa nae bega kwa bega wakat yupo Jail, Johnny J and Big frank both of them got Killed, na siyo kama tunavyohaminishwa!
Big Frank kwenye moja ya interviews zake, (ntaiweka Link) anasema somehow anaweza kuunganisha matukio ya Baby lane wa Crips na Kifo Cha Pac, but hakubase sana huko, Big Frank anajua vitu vingi sana kuhusu Pac's death, kuna utata mkubwa sana umefunika kifo cha Pac, (ishu ya Pac kuuliwa na baby lane kutoka Crips huwa naikataa na nitaikataa mpaka kesho, coz ni Nadharia nyepesi sana)..inawezekana wakat wanaPlot kifo cha Pac waliamua kuitumia crips coz Pac alikuwa anahisiwa kuwa ni Bloods member ingawa Mwenyewe hajawahi kusema hilo wala Hakujawahi kuwa na uthibitisho UNLIKE kwa THE GAME ambaye anajulikana kuwa ni "member wa Bloods".but hii ishu ya Baby lane ni ndogo sana kwenye kifo cha Pac, Nadharia tu ndo zimezunguka kifo cha Pac, but naamini kuna MAKUBWA mengi sana katika kifo cha Pac,
Then kinachoumaga zaid, ni Nig's from East side ndo huwa wanajaribu kuharibu Legacy ya Pac, but kitu alichokiacha PAC ni kikubwa sana katika industry ya HIP-HOP kuua legacy yake will take years and years na Haitofanikiwa.
john yawezekana kapokea threats au kashauriwa akae pembeni, coz jamaa anajua vitu kibao vya Pac, na watu kibao ambao walikuwa karibu sana na Pac (ambao wamethubutu kuongea hadharani) wengi wamekufa, so me naona kafanya vyema kujitoa kwenye huo mduara, NA pia yawezekana kajitoa kwasababu anaona kazungukwa na watu ambao hawamjui vizuri Pac, na kama brother hatak kushiriki katika kuunaribu upande mzuri wa Pac as a Person!
Big frank's interview! ( unaweza ukaconnect dots)
http://sabotagetimes.com/music/tupacs-former-bodyguard-reveals-who-shot-the-rapper/