kwahiyo unataka kuniambia, yeriko nyerere hana uhusiano wowote na familia au ukoo wa baba wa taifa hili? just curious, nataka kumfahamu yule dogo, ni mdadisi na msumbufu sana huwezi linganisha na umri wake. nilikuwa nasoma post zake sana ikabidi nimsome sana facebook na jf na kuangalia picha zake ni kitoto kidogo ajabu.