TANZIA John Nyerere afariki dunia

Hata maraisi wengine watoto wao sio wote wanajulikana.

Kwa Mwinyi anajulikana Hussein Mwinyi tu.

Kwa Mkapa hakuna hata mmoja anayejulikana.

Kwa Kikwete anajulikana Ridhwani.

Kwa Magufuli anajulikana Jesca.

Na kwa Samia hakuna anayejulikana.

Hakuna ulazima wa kuwajua watoto wa Marais. Wanaowafuatiliaga kwa karibu watoto na ndugu wa Rais ni wapiga dili wakitafuta connections.
 
Kwa Mkapa anajulikana Nico, kwa Samia Anajulikana Abduli na Wanu
 
John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.

========================

UPDATES;

Ratiba ya Mazishi
Poleni sana,Mungu na awe faraja kwenu wote!
 
Kwa Mkapa anajulikana Nico, kwa Samia Anajulikana Abduli na Wanu
Hawajulikani hao. Mi ndo nawasikia leo toka kwako.

Yaani hata Kinje mtoto wa Kingunge alikuwa anajulikana enzi zake ameshika maegesho ya jiji la Dar pamoja na stendi ya mabasi ya mikoa Ubungo.
 
Hawajulikani hao. Mi ndo nawasikia leo toka kwako.

Yaani hata Kinje mtoto wa Kingunge alikuwa anajulikana enzi zake ameshika maegesho ya jiji la Dar pamoja na stendi ya mabasi ya mikoa Ubungo.
Sasa wewe kutowajua ndiyo kumaanisha hawajulukani, Nicolas mbona yupo serikalini, Wanu si ni mbunge. Mbona sisi tunawajua na tupo hapa hapa Tanzania?
 
John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.

========================

UPDATES;

Ratiba ya Mazishi
R.I.P comrade and veteran. 47 years after Iddi Amin war and 26 years after departure of of your farther - The Farther of the Nation.
 
Juzi jumamosi nilipita pale kwao msasani hakuna mataa yoyote. Sitashangaa leo yakawekwa mataa kuanzia huku barabarani sheli hadi mlangoni na kuzunguka nyumba nzima
Ccm wanafiki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…