Labda mechi ya Simba ilikua siku mbaya kaziniJohn Nobble golikipa mnaijeria aliyefunga safari kutoka kilometa nyingi jimbo la Abba yalipo makao makuu ya timu ya Enyimba mpaka kwa warina asali wa Tabora united kaniachia maswali mengi sana.
Baada ya ile gemu ya Simba nikajipa muda wa kumsoma Nobble kwa gemu za mbeleni, ukiacha ile gemu ya nyuma ya Yanga aliyoonyesha kiwango maridadi kabisa.
Baada ya kumsoma gemu mbili dhidi ya Namungo matokeo yalikua sare ya kutofungana na leo dhidi ya Azam pia sare ya kutofungana.
Hitimisho ile gemu ya Simba dishi lilichezeshwa gemu ile Nobble alikua na kiwango cha mashaka ukiangalia michomo anayookoa kwa hizo gemu tatu dhidi ya Yanga, Azam na Namungo kwa kifupi yale magoli ya Simba yalipikwa maabara/ artificial.
Baada ya gemu ile hebu jiulize wale washambuliaji wawili wa Simba waliotupia wamepotelea wapi? baki na jibu lako.
Mpira wetu una madudu mengi mnoo tunafahamu Tabora nani yupo pale asingekubali vijana wake wa zamani waondoke na aibu.
Na ile ya Yanga vipi na ile ya Namungo vipi? Halafu linganisha na ile ya Simba masta.Azam hawajapiga shuti lililolenga goli hata moja golini kwa Tabora halafu unamsifu John Noble kwa kucheza vizuri.Nikadhani huko utopoloni idadi aliyosema Manara imeongezeka kumbe nimejidanganya.
Umeshaonesha huwa huangalii mechi bali huwa unakimbilia kupost tu hivyo sina haja ya kujisumbua.Nyie ndio mnaongoza kwa kubebwa,kumbuka Kagera walikataliwa goli halali dhidi yenu,kumbuka pia kadi nyekundu ya Mayombya imefutwa,hii maana yake Mwamnyeto alitakiwa kupewa kadi nyekundu achilia mbali vipepsi vya AuchoNa ile ya Yanga vipi na ile ya Namungo vipi? Halafu linganisha na ile ya Simba masta.
Sio kila save ni shot on target elewa hiloAzam hawajapiga shuti lililolenga goli hata moja golini kwa Tabora halafu unamsifu John Noble kwa kucheza vizuri.Nikadhani huko utopoloni idadi aliyosema Manara imeongezeka kumbe nimejidanganya.
Umeangalia mpira?nani kazungumzia kuhusu saves?bado na wewe unathibitisha hoja ya ManaraSio kila save ni shot on target elewa hilo
Mimi naona kufunga mjadala kipa bora ni wa ihefu!John Nobble golikipa mnaijeria aliyefunga safari kutoka kilometa nyingi jimbo la Abba yalipo makao makuu ya timu ya Enyimba mpaka kwa warina asali wa Tabora united kaniachia maswali mengi sana.
Baada ya ile gemu ya Simba nikajipa muda wa kumsoma Nobble kwa gemu za mbeleni, ukiacha ile gemu ya nyuma ya Yanga aliyoonyesha kiwango maridadi kabisa.
Baada ya kumsoma gemu mbili dhidi ya Namungo matokeo yalikua sare ya kutofungana na leo dhidi ya Azam pia sare ya kutofungana.
Hitimisho ile gemu ya Simba dishi lilichezeshwa gemu ile Nobble alikua na kiwango cha mashaka ukiangalia michomo anayookoa kwa hizo gemu tatu dhidi ya Yanga, Azam na Namungo kwa kifupi yale magoli ya Simba yalipikwa maabara/ artificial.
Baada ya gemu ile hebu jiulize wale washambuliaji wawili wa Simba waliotupia wamepotelea wapi? baki na jibu lako.
Mpira wetu una madudu mengi mnoo tunafahamu Tabora nani yupo pale asingekubali vijana wake wa zamani waondoke na aibu.
Hebu tuelezee na Wilbroad Maseke kwanzaJohn Nobble golikipa mnaijeria aliyefunga safari kutoka kilometa nyingi jimbo la Abba yalipo makao makuu ya timu ya Enyimba mpaka kwa warina asali wa Tabora united kaniachia maswali mengi sana.
Baada ya ile gemu ya Simba nikajipa muda wa kumsoma Nobble kwa gemu za mbeleni, ukiacha ile gemu ya nyuma ya Yanga aliyoonyesha kiwango maridadi kabisa.
Baada ya kumsoma gemu mbili dhidi ya Namungo matokeo yalikua sare ya kutofungana na leo dhidi ya Azam pia sare ya kutofungana.
Hitimisho ile gemu ya Simba dishi lilichezeshwa gemu ile Nobble alikua na kiwango cha mashaka ukiangalia michomo anayookoa kwa hizo gemu tatu dhidi ya Yanga, Azam na Namungo kwa kifupi yale magoli ya Simba yalipikwa maabara/ artificial.
Baada ya gemu ile hebu jiulize wale washambuliaji wawili wa Simba waliotupia wamepotelea wapi? baki na jibu lako.
Mpira wetu una madudu mengi mnoo tunafahamu Tabora nani yupo pale asingekubali vijana wake wa zamani waondoke na aibu.
Manara kakufanyaje?Umeangalia mpira?nani kazungumzia kuhusu saves?bado na wewe unathibitisha hoja ya Manara