Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Wegesa Heche amesema yeye na viongozi wote hawakuachiwa kwa makubaliano maalum wala hakuna mazungumzo waliyofanya wakati alipokamatwa kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.
Heche ameyasema hayo leo Novemba 11, 2025 baada ya kutoka kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati (Central) Dar Es Salaam.
"Kama tulivyokamatwa ndivyo tulivyoachiwa hakuna mazungumzo na yoyote tuliyofanya na mtu yoyote" amesema Heche.
Heche aliripoti kituoni hapo akiambatana na Wakili Hekima Mwasipu pamoja pamoja na viongozi wengine wa chama hicho ambao walitakiwa kuripoti akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa chama Bara Amani Golugwa, Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema.
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche amesema yeye na viongozi wowote hawakuachiwa kwa makubaliano maalum wala hakuna mazungumzo waliyofanya wakati alipokamatwa kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.

"kama tulivyokamatwa ndivyo tulivyoachiwa hakuna mazungumzo na yoyote tuliyofanya na mtu yoyote" amesema Heche.

JOHN W. HECHE : HATUNA MAKUBALIANO NA YEYOTE, TULUVYOKAMATWA NDIVYO TULUVYOACHIWA View: https://m.youtube.com/watch?v=JuUgyaYOjQU
Kwa umma wa waTanzania nilikuwa ndani kwa siku 21, hivyo sikufahamu kilichokuwa kinaendelea huku uraiani asema makamu mwenyekiti John W. Heche
Ni jana tu ndiyo nimepewa taarifa kuhusu kilichoendelea huku uraiani, hivyo natoa pole sana kwa walioumizwa na waliopoteza ndugu zao anaongeza John Heche
Kuachiwa kwetu hakuna maana kuwa kuna muafaka au mazungumzo baina yetu na watawala kama wanavyoeneza propaganda baada ya sisi kuachiwa kwa dhamana asisitiza makamu mwenyekiti John Heche ..
Tatizo sio Samia bali ni mfumo.
Yalikuwepo hayo wakati wa Mkapa, Kikwete na hata Magufuli.
Sijui kwa nini vijana mnataka kuzima data zetu utafikiri mnayemlaumu ni Rais toka chama tofauti na watangulizi wake.