Naombeni msadaa,Jogoo wangu anepinda kwenye shina na anakuwa kikwazo kwenye mahusiano kwani akiingia ,mpenzi wangu anasema anamuumiza,je nifanyeje wakuu ili anyokee,kwani Dada wengi ninao kutana nao wanalalamika sana, yani kichwa chake kinaelekea juu baada ya mbele