Jogoo full version.

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
Jogoo alianza kumkimbiza

kuku huku akilini mwake

akiwaza, "nikimpata

atakiona cha mtema kuni

lakini nikimkosa nitajifanya

natia zoezi." Kuku naye

akawa anawaza

"nikisimama nitaonekana

malaya, akanikosa nitalala

na nyege.



jogoo aliposhika kuku,kwa

fujo kamwambia huku

akirefusha bawa moja hadi

chini,na akitembe kama

amelewa kwa kuhema

"wataka kulala na nyege?

hii blanketi yote

utamaliza?"..kisha

akamdona!!.....kwa

kuishiwa na pumzi baada

ya kuhemeshwa-doo!

filimbi tu kupigwa jogoo

kawa amemaliza!!...kuku

naye kaamka akiongea

kichini-chini

"hmmh,muone.huku yua

jipiga kifua na ata sekunde

haishi....make-up yangu

yote kaharibu bure!"

katingisha mwili yote

nakaenda zake!
 

Jogoo siyo kuku?

Mi nilidhani wote ni kuku, jogoo jina tu kama alivyo "temba" a.k.a "mtetea"!
 
kombo jogoo sio kuku.jogoo jinsia kwaivyo ukiskia dada anakuambia kuku ni kuku jogoo ni jina jua kaku2si.ha ha ha.
 
kombo jogoo sio kuku.jogoo jinsia kwaivyo ukiskia dada anakuambia kuku ni kuku jogoo ni jina jua kaku2si.ha ha ha.

Kiswahili matata kweli, ok back to your post: umetumia maana ya ngapi ya jogoo vs kuku?
 
Kiswahili matata kweli, ok back to your post: umetumia maana ya ngapi ya jogoo vs kuku?

ebwanae naona utanrudisha kwa mwalim wangu wa fasihi simulizi.maana iliotumika ni moja ya tangu kuumbwa kwa viumbe.hivi kama kwel unaeza nijib kati ya kuku na jogoo nani anaetaga? Ama kwa urahisi kat ya mme na mke nani anaezaa?
 
Dirty minds!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…