habari wadau nimekuwa na tatizo ktk kufanya mapenzi na kushindwa kusimamisha uume au namaliza mapema sana tena goli moja tu nkaenda kwa dr akaniambia sina tatizo ila huwa nakamia tu sasa je nifanyaje ili hili tatizo lisijirudie na nisikamie tena maana huwa hadi nashindwa kufanya kabisa kitu inalala tu asanteni
Uache kukamia.
Utaifanyisha kazi hiyo hadi ichoke kabisa, una haraka ya kwenda wapi? Una target number ya kufikisha?
Kwanza jifunze kuringa na mwili wako. Na uwaambie hao wadada jembe langu bado jipya msinizeeshe bure.