Pole sana mkuu naona toka 2014 ulipomaliza Udom bado upo mtaani.
usife moyo pambana lakini pia angalia mazingira uliyopo huenda sio rafiki kupata shule au kazi ya kufanya, na pia angalia uwezekano wa kufanya kitu cha ziada kwa kutumia taaluma yako au nje ya taaluma yako
angalia ajira za wizara ya mambo ya ndani omba, kuna ajira zimetoka kadhaa ambazo kw degree inaeza omba mbali na ualimu mfn uafisa utendaji kata,vijiji n.k lwa hiyo naamini una nafasi nzuri ya kuajiriwa mwaka huu, muombe na mungu pia
kila la heri mkuu