Mr.Bakari hanje Member Joined May 16, 2013 Posts 24 Reaction score 0 May 1, 2015 #1 Hivii wadau ile job advertisement walotoa bot kuhusu post ya NOTE COUNTER III majibu yametoka????? Tujuzane wadau
Hivii wadau ile job advertisement walotoa bot kuhusu post ya NOTE COUNTER III majibu yametoka????? Tujuzane wadau
Z zenobby Member Joined Apr 1, 2015 Posts 17 Reaction score 10 May 1, 2015 #2 nlisikia kwa mtu kuwa yametoka na kunawatu wameitwa kazini.....bt cnauhakika maan nistory katika kupiga ndo ikaingiziwa hiyo ishu
nlisikia kwa mtu kuwa yametoka na kunawatu wameitwa kazini.....bt cnauhakika maan nistory katika kupiga ndo ikaingiziwa hiyo ishu
Mr.Bakari hanje Member Joined May 16, 2013 Posts 24 Reaction score 0 May 1, 2015 Thread starter #3 Ukipata uhkika tutafutane zenoobbyy