Job vacancy at DTB

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,686
Reaction score
1,758
Habari wadau.

Leo katika pitia pitia kwenye mtandao, niliingia kwenye site ya hawa jamaa wa kazibongo, nikakuta wameweka tangazo la post ya teller, source ni the guardian la tarehe 22 April, sasa tatizo ni hiyo email iliyowekwa..kila nikijaribu kutuma application wanarudisha majibu kuwa postmaster hawaitambui email.

Mwenye hilo tangazo atuwekee, au mwenye kujua juu ya hili atujuze.

Ahsante.
 
...hao wahindi wazushi sana...
 

Angalia HAPA
 
Jana nimefika kwenye office zao. Mapokeo tuu ya secretary yamenimaliza nguvu. Amenijibu kwa nyodo nikahisi ninanuka mavi. Kifupi ni ubabaishaji inaonekana watu wemeshawekwa. Wametangaza tuu kutuzingua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…