DJPEREZ SHOW
Member
- Jun 18, 2019
- 23
- 19
Upo dsm?Naomba msaada m nmetoka chuo mwez wa nne mwaka huu veta shinyanga nna cheti kizuli na nna 4 ya 28 ya kidato cha nne naomba msaada kwa atae kua na connection ata niwe msaidizi tu jamani namba yana ya simu 0746311461View attachment 2428349
Mkuu mimi sina cheti ila nimejifunzia mtaani naomba koneksheni nipate uzoefuUpo dsm?
Asante kaka ipo mkoa ganiKaribu Mayanga Construction ufanye usaili.
Ulipo jifunzia ilikuaje au mashine ilisumbuaMkuu mimi sina cheti ila nimejifunzia mtaani naomba koneksheni nipate uzoefu
Pale manyoka ilikuwa marufuku kwahiyo tulikuwa tunajiiba usiku halafu mradi ulikuwa mwishoni.Ulipo jifunzia ilikuaje au mashine ilisumbua
Ahaa dah ila usikate tamaa m toka nmetoka chuo napambana kupata ata kwa kushinda tu yaniPale manyoka ilikuwa marufuku kwahiyo tulikuwa tunajiiba usiku halafu mradi ulikuwa mwishoni.
Sikati tamaa mwamba. Ikitokea umepata sehemu tushtuane mzeeAhaa dah ila usikate tamaa m toka nmetoka chuo napambana kupata ata kwa kushinda tu yani
Iringa unakosaje kibarua? GNMS ,umeenda? Je kwa Gs umejaribu?Apana nipo iringa ila naweza kuja ikitokea nafasi mana nimekaa sana mtaani bila msaada wowote [emoji17][emoji17][emoji17]
Mtambo gani mwingine unafahamu kuoperate? Mimi binafsi nimejifunza wheel loader, excavator na backhoe loader. Natafuta mahali nipate uzoefu kwenye mtambo wowote kati ya hizo.Sawa ata we usnisahau kka
Nipo singida mkuuKwan upo mkoa gan