Wadau kuna nafasi za kazi hizo hapo chini please confidently apply:
[h=2]Chief Accountant HR Coordinator
Pre-sales engineer - ICT ICT Sales (Multiple roles)[/h]Kindly find the attached documents for JD and how to apply:
Wadau kuna nafasi za kazi hizo hapo chini please confidently apply: Chief Accountant HR Coordinator
Pre-sales engineer - ICT ICT Sales (Multiple roles)
Kindly find the attached documents for JD and how to apply:
Yale yale ya kila siku, mbona watu wana pupa katika kutuma haya matangazo halafu wanaacha taarifa muhimu kama contacts,are we serious?au ndo huo uharaka kama kichwa cha habari cha tangazo lako kinavyosema?jipange sawasawa