Job Ndugai: Tulijisikia vibaya sana Kocha Juma Mgunda kufananishwa na Andazi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,678
143,095
Spika mstaafu Mhe. Job Ndugai amesema walijisikia vibaya sana Kocha wao Juma Mgunda alivyofananishwa na andazi.

Ndugai amesema lakini walifurahishwa kwa jinsi Juma alivyojibu kwa hekima.

Ndugai hajasema lolote kuhusu CCM kulinganishwa na ANDAZI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

===

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa ambaye ni Shabiki wa Simba, Job Ndugai amesema Mashabiki wa Klabu hiyo walijisikia vibaya Kocha wao Juma Mgunda alipofananishwa na andazi lakini walifurahi jinsi Mgunda alivyojibu kwa busara.

Ndugai amesema hayo leo katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Wanachama wa Simba ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

โ€œTulijisikia vibaya kocha wetu Juma Mgunda alivyofananishwa na andazi lakini tulifurahi alivyojibu kwa busara, hongera sana Mgunda"

 
hatujaingia mkataba ila HAYA ni makubaliano.mkataba Ni NINI na makubaliano Ni NINI MKATABA NI MAKUBALIANO KATI YA PANDE KADHAA ZINAZOHUSIKA,JINSI YA KUENDESHA/KUTIMIZA/KUSHUGHULIKIA JAMBO/ MAMBO WALIYOPANGA. WAWEZA KUWA makubaliano ya KUPANGISHA, KUKODISHA, KUUZIANA MALI, KUAJIRIWA,KUOANA,NK. Hauwezi kusema kuwa SIJAOGA ILA NIMEJIMWAGIA MAJI NA KUJISUGUA NA SABUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ