Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,793
- 165,531
Huku nikiwa siamini masikio yangu,aliekuwa Naibu Spika wa Bunge,Job Ndugai amesema kupitia TBC1 kuwa wanakamilisha kufunga computer kwa kila mbunge na kwamba Bunge litaanza November 6.
Ukweli ni kwamba sijaelewa hizi computer zinafungwa wapi.
Aliesikia vizuri atusaidie maana huenda sikumuelewa alichosema.
Hatuna spika wala Naibu spika
Kwanza yeye anasema kama nani?? BUnge lishavunjwa na bunge jipya halijaapishwa wala halijachagua spika wala naibu wake.Huku nikiwa siamini masikio yangu,aliekuwa Naibu Spika wa Bunge,Job Ndugai amesema kupitia TBC1 kuwa wanakamilisha kufunga computer kwa kila mbunge na kwamba Bunge litaanza November 6.
Ukweli ni kwamba sijaelewa hizi computer zinafungwa wapi.
Aliesikia vizuri atusaidie maana huenda sikumuelewa alichosema.
Je amezungumza akiwa kama nani? Au kampeni za uspika zimeanza?
Mbunge wa kule nanihino ataweza kui operate hiyo computer.