Joana digital printing

SUYA

Senior Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
131
Reaction score
21
pata huduma za kuprint kwa bei nafuu

colour printing a3 1000-hii ni full colour kwa karatasi yoyote ,gross 300-150.mate paper
film kwa ajili ya ramani ni .
A3 tsh 1500,
a4 tsh 800
colour a4 tsh 500
print black a3 tsh 300
print black a4 tsh 100
kumbuka machine zetu ni faster na uhakika wa kazi kwa 100%
pia huduma za binding ni za haraka kwa kutumia machine za umeme

mawasiliano
0755009950
0171144200
 

Hapo vizuri tangazo lime improve.si unaona raha ya kukosoana? Nice imekaa poa hata kwa mpangilio.na kama mtu yoyote atakushauri you just edit tu then mwisho wa siku tangazo linakuwa poa.
 
hapo vizuri tangazo lime improve.si unaona raha ya kukosoana? Nice imekaa poa hata kwa mpangilio.na kama mtu yoyote atakushauri you just edit tu then mwisho wa siku tangazo linakuwa poa.

asante ubarikiwe
 
Fanya Hivi

Joana Digital Printing
Tunapatikana Survey (Mlalakuwa),barabara ya chuo kikuu na Brajec Pub
Tunatoa huduma ya PRINTING kwa bei nafuu kabisa, tunaprint karatasi za aina zote ikiwemo
karatasi maalum kwa ajili ya kuprintia ramani (mate paper film)

Bei zetu ni za chini ukiringanisha na wengine

Karatasi za rangi A4 = 500/=
karatasi za black& white A4= 100/=
karatasi za black& white A3= 300/=
karatasi za ramani A3 = 1500
karatasi za ramani A4 = 500

Ukiprint black&white karatasi kuanzia 1000 A4 =@ 50/=

Pia mashine zetu zinafanya kazi kwa kasi inayotakiwa na uhakika wa kuondoka na kazi yako 100%,
Iwapo utahitaji tuifate kazi ofisini kwako au kwa maulizo na maswali yoyote mawasiliano yetu ni

0784469762/0171144200/0713403517/0719384898


inatakiwa tangazo lako liwe hivi, kopi halafu uipesti kwako ukimaliza futa hii ya kwangu
 

Naomba ni PM
 
 
Hellow bado mnatoa huduma kwa bei hizi/
Muda wenu wa kazi ukoje?
 
Hellow bado mnatoa huduma kwa bei hizi/
Muda wenu wa kazi ukoje?
Bei zetu ni zile zile Tena zimeboreshwa zaidi
Ofisi inafunguliwa kila siku saa 8:30
Mpaka saa mbili kamili usiku.
 
nikitaka uniprintie nakala 1000 za A3 ,BANNERS HIZI ZA PICHA ZA WAGOMBEA NI BEI GANI! AU A4 ?
 
Mnapatikana wapi ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…