Alikuwa akituliza Munkari wa mashabiki wa Diamond (Platnum) kwani walikuwa wanakanyagana
wakigombania kumwona, watoto wengine wameonekana wakiokolewa na Asha Baraka na Dokii
wakiwa hoi...kweli sherehe zimefana wamefanya vema kumuita Diamond japo hajawatungia wimbo
Watu wamefurika sana wanasikiliza hotuba