Unastahili kupigwa ban kwa upuuzi huu.Wenye njaa zao wamepata namba yta Raisi wamempigia na wanamuomba milioni mia hamsini mtaji,baada ya kuchati na kuongea kwa simu bila kuafikiana mkulu kaamua kuibuka nalo kwenye mikutano yao etii sitaki kuombwa hela ,wananiuzi sana watanzania wanaoomba fezaaaaa,
sasa mpaka mnakubaliana mia hamsini,mnachati na kuzungumza ulikuwa hujui kama una hasira nao au sanaa tuu?
wape hela 2015 inakaribia
Nyie mmeambiwa mumshambulie Dr Slaa na Mbowe?Yaani CHADEMA wanachekesha sana. Maadam wameambiwa wamshambulie sana JK na Kinana, basi zinatengenezwa nyuzi kibao zisizo na kichwa wala miguu
Mkuu, hiki alichopresent kinareflect matendo yakeNdo hulka ya watz
Huenda pia tuna matatizo kwa sababu ni wangapi kati yetu tunaombwa fedha na ndugu zetu?
Mie sifanyi kazi kwa kuambiwa. Ila nyie mnaambiwa na viongozi wenu ambao wanapata ushauri wa KubeneaNyie mmeambiwa mumshambulie Dr Slaa na Mbowe?
Wewe lazima utakuwa gongo fc.Wenye njaa zao wamepata namba yta Raisi wamempigia na wanamuomba milioni mia hamsini mtaji,baada ya kuchati na kuongea kwa simu bila kuafikiana mkulu kaamua kuibuka nalo kwenye mikutano yao etii sitaki kuombwa hela ,wananiuzi sana watanzania wanaoomba fezaaaaa,
sasa mpaka mnakubaliana mia hamsini,mnachati na kuzungumza ulikuwa hujui kama una hasira nao au sanaa tuu?
wape hela 2015 inakaribia
hagombei ila inasemekana slaa bado ana kinyongo cha kushindwa mwaka 2010,ndo maana anawatuma.Kwani JK anagombea 2015?
Yaani CHADEMA wanachekesha sana. Maadam wameambiwa wamshambulie sana JK na Kinana, basi zinatengenezwa nyuzi kibao zisizo na kichwa wala miguu
Kwa hiyo kwa kumshambulia JK ndo kinyongo chake kitaisha?hagombei ila inasemekana slaa bado ana kinyongo cha kushindwa mwaka 2010,ndo maana anawatuma.
Wewe lazima utakuwa gongo fc.
Wewe lazima utakuwa gongo fc.
Huu ni ukosefu wa adabu hapa JF. Hivi kila atakaye msema Mbowe ni CCM na ataye msema Kikwete ni Chadema? Huu ni ufinyu wa mawazo na kuharibu jukwaa kwa kulifanya ni jukwaa la vyama.