Upepo haujatulia, Umetulizwa tuliwaeleza hili la Gesi ni mlipuko tu litapita watu wakajifanya kubisha,Jakaya anawajua wa Tz anajua strength na weaknes yao, Tafuteni lingine maana ujenzi wa Bomba kama kawa unaendelea na wana Mtwara wanatoa ushirikiano kama kawa,Zile fujo ni za wana Tandahimba ngome ya Kaf wengine ni watiifu kwa serikali yao Tiifu ya Ndugu Jakaya,Hata vurugu za Newala na Tandahimba zilifanywa na hao mamluki.Sasa Jakaya anaenda kuwashughulikia wapishi wa Propaganda walodanganya kuwa Bomba linaenda msoga wakati wote wanafahamu Kinyerezi ipo Dsm wilaya ya Ilala na ndo destination ya Bomba!
Kama DJ wenu nae si alipata zero form 4 kwaiyo hawana tofauti na uyolazima umemaliza form four mwaka jana wewe,hata hujui kujibu maswali
Kama DJ wenu nae si alipata zero form 4 kwaiyo hawana tofauti na uyo
DJ nae sialienda UK kusoma ivi aliishiaga wp vile aaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhnape division four point 29=mzumbe masters=maajabu ya dunia
lazima umemaliza form four mwaka jana wewe,hata hujui kujibu maswali
Madhara ya kutumia masaburi!!mbowe ndie anashinda ofisini
hivi huyu jamaa anatuliaga ofisini kweli?
katika hizi zama za teknolojia mpya za mawasiliano , Cell phones, Internet, Fax, Skype, nk huna haja ya kukaa ofisini kwako ulipozoea ili ufanye kazi. Unaweza kuwa popote ukapiga kazi. Unless uwe unahitaji ku sign makaratasi ambayo hjata hivyo unaweza ku sign popote ulipo yakatumwa kwa courier. hebu tuachane na mitazamo ya mwaka 47 ya kukaa ofisini. Angekaa ofisini mngelalamika tena kwamba rais haenda ground kuona kwa macho.