Well,,japo mtoa thread kaandika kiufupi mno but the issue was,alipoibua inshu hiyo ya kuwazuia nao walianzisha habari ya mwenyekiti wa chama asiwe rais,ngoma ikawa tamu!
Kuna wakati inafaa kutenganisha mambo ya chama na urais maana inapunguza uwajibikaji wa viongozi,kama rais ndio mwenyekiti wa chama ni nani anaweza kumwajibisha kwa urahisi?Mambo haya yatabadilika pale tu wapinzani watakapochukua nchi huku wakiachana na aina ya utawala ambao chama cha Mapinduzi umekuwa ukiutumia.
...haya mambo ya kila siku chupuchupu mimi nimeshayachoka, natamani kusikia tu kuwa ameshaenguliwa, sasa kama ni chupuchupu tunapata faida gani kabla na baada ya habari kuripotiwa? Hatuwezi kuthibitisha ukweli wa mambo hayo, uthibitisho tungeupata tu kama yangekuwa yametokea. Aina hii ya kuripoti mambo imekuwa inamfanya JK kama smart for nothing....
Well,,japo mtoa thread kaandika kiufupi mno but the issue was,alipoibua inshu hiyo ya kuwazuia nao walianzisha habari ya mwenyekiti wa chama asiwe rais,ngoma ikawa tamu!
Hapo kwenye red sio inshu ni issue, mbona mwanzo umelipatia hapo kwenye blue? alafu ili neno nimeshasikia mara nyingi sana watu wanalikosea sijui kwanini.