Bado akili yako haijakomaa kiasi cha kusikiliza vitu vizito kama hivi. Ukimaliza kucheki UEFA, Kachezee playstation ... mambo haya ya kumsikiliza rais wa nchi tuachie watu wazima.
Anajisifu anasema alikwenda U.S.A 2006 akakataliwa kuonana na rais badala yake akawa anaongea na makamo wa raisi gafla akatokea rais bush haahaahaa akamwambia ' YOURE GOOD MAN' halaf akapiga nae picha uyo akaja zake. Najuta kubadilisha steshen kuacha kuangalia UEFA .