Utaifa kwanza chama baadae, JK akienda nje hakosi kuwaita akina Lukosi eti kukutana na wanachama wa tawi la CCM London, Washington, China etc
Bush na Obama walienda kuhani waliokufa kwa pamoja kama kuenzi utaifa wao bila kujali vyama vyao na hatukusikia kuwa watakutana na wanachama wa matawi ya Republican wala Democratic