Jitambue

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 808, bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 552, bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]THE GEOGRAPHY OF A WOMAN
Between 18 and 22, a woman is like AFRICA :
Half discovered, half wild, fertile, and naturally beautiful.
Between 23 and 30, a woman is like EUROPE :
Well developed and open to trade, especially for someone with cash.
Between 31 and 35, a woman is like SPAIN :
Very hot, relaxed, and convinced of her own beauty.
Between 36 and 40, a woman is like GREECE :
Gently aging, but still a warm and desirable place to visit.
Between 41 and 50, a woman is like GREAT BRITAIN :
With a glorious and all-conquering past.
Between 51 and 60, a woman is like ISRAEL :
Has been through war and doesn’t make the same mistakes twice; takes care of business.
Between 61 and 70, a woman is like CANADA :
Self-preserving, but open to meeting new people.
After 70, she becomes TIBET :
Wildly beautiful, with a mysterious past and the wisdom of the ages…only those with an adventurous spirit and a thirst for spiritual knowledge visit there.
THE GEOGRAPHY OF A MAN
Between 1 and 70, a man is like IRAN :
Ruled by nuts!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mmh ni matokeo ya utafiti au nadharia?
 
Umeanzia 18-22, vipi umri kuanzia 1-17??? hapo mwanamke anakuwa kama nani vile?
 
Mmmhhh wewe mtu wewe nimecheka nikafurahi sana ila hicho kimalizio chako ndio kimenimaliza, hahhaaa eti Jiografia ya wanaume ni kama IRAN inatawaliwa na Nutts?????
 
Umeanzia 18-22, vipi umri kuanzia 1-17??? hapo mwanamke anakuwa kama nani vile?

kwa sababu thread ni jitambue bila shaka umri huo anakua hajajitambua, c eti mtoa mada eenh
 
kwa sababu thread ni jitambue bila shaka umri huo anakua hajajitambua, c eti mtoa mada eenh

Mbona kwa wanaume kaanzia mwaka 1 - 70, Ina maana watoto wa kiume huanza kujitambua tangu wakiwa na mwaka 1?! Na katufananisha na Iran, si hatari hii? Hebu tafakari tena!!! :becky:
 
Duh umenikumbusha mbali nilikuwa nayo hyo poster kwenye wall yangu hostel enz za chuo by that time nikiwa Africa ,kwel tmy flies..
 
hizi vitu hazina uhalisia bwana.description kibao

alaf haka kamtindo sio kabisaa hata kwenye simu.mtu anakuforwadia msg tu hamna neno lake hata moja.yote yaliyoandikwa kule yalitengenezwa zamani na baadhi ya watu.kwa nini usiandike kile unachojickia?

unafahamu msg hutakiwa kuandikwa kutokana na mtu anavyofeel hapo ndo infurahisha.
maswala haya kuwa dependent hata kwenye kuandika msg sio ishu bwana

haka katabia kanakera sana
 
Mbona kwa wanaume kaanzia mwaka 1 - 70, Ina maana watoto wa kiume huanza kujitambua tangu wakiwa na mwaka 1?! Na katufananisha na Iran, si hatari hii? Hebu tafakari tena!!! :becky:

.., kawaida mtoto wakiume akizaliwa lazima kila asubuhi kata nani..., na mama yake lazima amkague mtoto kuona kama ni nani, isije ikawa ile ya "mtoto huyu vipi"
 
Duh umenikumbusha mbali nilikuwa nayo hyo poster kwenye wall yangu hostel enz za chuo by that time nikiwa Africa ,kwel tmy flies..

aha haa, te te tse! kweli nimekukumbusha mbali, na sasa hivi uko wapi?
 
jamani this is explain issues in philosophical way na ni mtazamo wa mtu na kama wewe una mtazamo tofauti wa ku explain issue toa mtazamo wako kwakuweka hoja ndio maana ya greater thinker ,siyo mtu anasema tu ondoa upuzi wako.
 
hahahahahah sa ivi niko europe ingawa umeichakachua europe kwenye maelezo ya cash hayo hayapo....
aha haa, te te tse! kweli nimekukumbusha mbali, na sasa hivi uko wapi?
 
Kwa wanaume Kwa kweli nakata rufaa sikubali. Mtoa mada jiandae na mwanasheria. Haiwezekani tuonewe hivhivi.
 
hahahahahah sa ivi niko europe ingawa umeichakachua europe kwenye maelezo ya cash hayo hayapo....

duh, siyo kuchakachua! nasikia huko ni cash, labda kwa sasa ni mabadiliko ya hari ya hewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…