C miu
Nivecha Jangu,Wekioka Tayari Uneniira Nami Nithome Iyo Kothi.
Hethina mburi kabitha mbwangeNivecha Jangu,Wekioka Tayari Uneniira Nami Nithome Iyo Kothi.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji16]Mnaubaguz hiyo lugha yakwen yakolwe mwemi yalole vinoyali
Hapana inategemea ni maendeleo gani unazungumziaTatizo ulozi na maendelea havipatani
Sawa Avae
Mlozi Ni hatari unaweza pauwa nyumba kwa vigae akapiga zongo na kukuta nyasi kesho yake,mara kuzalisha wake za watu nywele,kuvimbishana matumbo ,kuchizishana kifupi wanja wa walozi ni vurugu .Kuna mbara mmoja wakujita mwanamalunde huyo nasikia alijibizana mapigo kwa kinyesi na mwenzake
Huo ni wa kizamaniMlozi Ni hatari unaweza pauwa nyumba kwa vigae akapiga zongo na kukuta nyasi kesho yake,mara kuzalisha wake za watu nywele,kuvimbishana matumbo ,kuchizishana kifupi wanja wa walozi ni vurugu .Kuna mbara mmoja wakujita mwanamalunde huyo nasikia alijibizana mapigo kwa kinyesi na mwenzake
[emoji23]Niko apa msitu wa shengena kiongozi